Wetware Computers – Kompyuta Zinazoundwa kwa Tishu Halisi za Binadamu Badala ya Chuma na Silikoni.
2026-01-25 - 21:09
Kwa miongo kadhaa, tumekuwa tukiona silikoni (silicon) kama kilele cha uvumbuzi wa mwanadamu. Tumetumia madini na chuma kuunda processor zenye kasi ya ajabu, lakini sasa tumefika ukingoni mwa kile ambacho mashine hizi zinaweza kufanya. Tunapozungumzia teknolojia ya kisasa, ukweli mchungu ni huu: processor yenye nguvu zaidi, yenye ufanisi mkubwa wa nishati, na yenye uwezo wa
Share this post: