TheTanzaniaTime

Video: Kishandu Anusurika Kuuawa Arusha, Pikipiki Yachomwa Moto

2026-02-22 - 13:07

Ni mtiti! Mtu mmoja ambaye bado hajafahamika jina, amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali huku pikipiki yake ikichomwa moto, akidaiwa kuwa ‘kishandu’ baada ya kujaribu kupora simu akiwa kwenye pikipiki. Polisi wenye silaha wamefika katika eneo la Soko Mjinga jijini Arusha na kutuliza hali iliyokuwa tayari imechafuka.

Share this post: