Video: Kamanda Muliro Ajibu Kuhusu Alipo Mafwele
2026-02-24 - 12:07
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro ameeleza kuwa Jeshi la Polisi halitavumilia vitendo vya kiharifu ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam. Muliro ameeleza zaidi kuwa simu zaidi ya 108, pamoja na Vyombo vya moto vimekamatwa pamoja na wahusika ambao wameshiriki katika kufanya uhalifu wa matukio mbalimbali.
Share this post: