Ushindi Ni mkubwa Zaidi Uki-JIMIXX Na Meridianbet
2026-02-04 - 07:48
Hii ni kubwa kwa wabashiri wote na wapenzi wa michezo ya kasino mtandaoni. Je, umekua ni miongoni mwa wale wanaobashiri bila kupata zaidi ya matokeo ya mkeka wako? Sasa wakati wa kutoka kwenye maisha hayo umewadia kupitia Meridianbet kwa kushirikiana na Mixx by Yas. Miamba hawa wameamua sasa wabashiri wote ndani ya Tanzania kupata radha mpya ya mchezo kwa kuzindua promosheni ya kipekee inayokwenda kwa jina la JIMIXX na Ushindi Bab Kubwaa, kampeni inayogeuza kila dau kuwa nafasi ya kushinda zawadi halisi ikiwa imeanza tangu Januari 27 na itaenda hadi Aprili 27, 2026. Hii ni promosheni iliyobuniwa kwa mbashiri wa leo, anayependa urahisi, kasi na ushindi unaoonekana. Meridianbet, wakishirikiana na Mixx by Yas, wameweka nguvu pamoja kuhakikisha mteja hapati burudani tu bali pia anahisi thamani ya kila shilingi anayoweka. Mbali na mchezo huu, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Ukiweka dau la Tsh 5,000 au zaidi kwenye akaunti yako ya Meridianbet kupitia Mixx by Yas, moja kwa moja unafunguliwa mlango wa mizunguko ya Bure kwenye michezo ya kasino kutoka Expanse Studios. Promosheni hii inakupa zawadi za kila siku za mizunguko ya bure, zawadi za kila wiki zikiwemo simu mpya za kisasa Samsung A26 zikitoka 2 kila wiki, na mwisho wa yote zawadi kuu zinazobeba uzito ni Bajaj mpya 2, Pikipiki Boxer, pamoja na TV aina ya Hisense inch 55. Ushiriki wa promosheni hii ni mwepesi kwa kila mteja. Unaweza kuweka pesa kupitia Mixx Super App au kwa kupiga *150*01#, kisha Malipo ya Bili, ingiza Namba ya Biashara 444999 na kiasi unachotaka. Droo za wiki zinachezwa kila Jumatano na Ijumaa. Wakati ndo huu, jisajili na Meridianbet sasa kwa Ushindi Bab Kubwaa na Meridianbet.