Ulimwengu wa Online Shopping Unaelekea Kubadilika kabisa Kupitia Ai, Google imejipanga kuutawala
2026-01-25 - 21:09
Dondoo Muhimu (Highlights) Mabadiliko ya Dhana: Google inahama kutoka kuwa “Injini ya Kutafuta” (Search Engine) na kuwa “Injini ya Kutenda” (Action Engine) kupitia AI ya Gemini 3. Wakala wa Manunuzi: AI sasa ina uwezo wa kufanya mchakato mzima wa ununuzi—kutafuta, kulinganisha, na kulipa—bila wewe kutoka kwenye app ya Google. Tishio la Soko Huria: Kuna hofu
Share this post: