TheTanzaniaTime

Samsung Iko kazini kutengeneza Teknolojia ya Kamera Ya Kizazi Kipya; Apple Nayo Inaitamani.

2026-01-25 - 21:09

Katika miaka ya hivi karibuni, soko la simu janja limefikia hatua ya ukomavu. Simu nyingi zina muonekano unaofanana, skrini kubwa, na uwezo wa kasi unaokaribiana. Tofauti kubwa sasa haiko tena kwenye umbo la simu, bali iko kwenye kamera. Ndiyo maana Samsung imeanza kazi nzito ya kutengeneza teknolojia mpya ya kamera ya kizazi kijacho, teknolojia ambayo

Share this post: