Samsung Galaxy S26 Ultra: Skrini Mpya Inayoweza Kuficha Unachoona kwa Watu wa Pembeni.
2026-01-29 - 09:24
Samsung inaonekana kuwa tayari kubadilisha kabisa dhana ya faragha kwenye simu janja. Taarifa mpya zinazovuja zinaonesha kuwa Galaxy S26 Ultra, simu ijayo ya daraja la juu kutoka Samsung, inaweza kuja na skrini yenye uwezo wa kudhibiti kile kinachoonekana kulingana na pembe ya mtazamaji. Kwa mtumiaji, skrini itaonekana wazi na angavu. Lakini kwa mtu aliye pembeni,
Share this post: