Rais Samia Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri
2026-03-05 - 16:38
Rais Samia Akiongoza Baraza La Mawaziri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, tarehe 5 Machi, 2026 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Share this post: