Rais Samia Ahitimisha Ziara ya Siku Mbili Arusha
2026-03-02 - 11:08
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu Machi 02, 2026 amehitimisha ziara yake ya kikazi ya siku mbili Mkoani Arusha. Katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameagwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha CPA Amos Gabriel Makalla, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu na viongozi wa Chama na serikali.
Share this post: