TheTanzaniaTime

”Prof Mkumbo na Mimi Tulifukuzwa CHADEMA” – Baba Levo – Video

2026-02-03 - 16:39

Msikilize Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Chipando almaarufu Baba Levo alivyowavunja mbavu wabunge wakati akisimulia jinsi yeye na Waziri Kitila Mkumbo walivyofukuzwa Chadema. Baba Levo pia amelizungumzia suala la vijana kuwezeshwa mitaji ili wajiajiri kwa masharti nafuu, tofauti na ilivyo sasa ambapo masharti ya kupata mikopo kwa vijana ni magumu

Share this post: