Nyumba Mpya ya Kisasa Inauzwa Mapinga – Hati Miliki, Bei Poa!
2026-02-01 - 02:29
NYUMBA YA KISASA INAUZWA – MAPINGA Eneo: Mapinga, kilomita 1 tu kutoka Bagamoyo Road Bei: Milioni 150 (maongezi yapo) Ukubwa wa kiwanja: 1,200 sqm Document clean TITLE DEED ( Hati miliki kutoka wizara ya aridhi) MAELEZO YA NDANI ◇Vyumba 4 vya kulala (2 Master ◇Bedrooms – Self Contained) ◇Sebule kubwa yenye mwanga wa kutosha ◇Chumba cha kulia chakula (Dining Room) ◇Jiko lenye nafasi kubwa, lenye mpangilio wa kisasa ◇Choo cha wageni (Public Toilet) ◇Store HUDUMA NA MAZINGIRA ◇Hifadhi ya bustani nzuri (Garden Area) ◇Parking ya magari ◇Maji safi (DAWASCO) na umeme tayari vimeunganishwa ◇Eneo tulivu, lenye majirani wazuri, salama na miundombinu imara. Mawasiliano Kwa maelezo zaidi au kutembelea eneo, wasiliana nasi kupitia: Call / WhatsApp: +255 795 303 038