TheTanzaniaTime

Netflix Yanunua Warner Bros kwa Dola Bilioni 72 — Ununuzi uliandika historia, je utaathiri nini watumiaji wa Netflix?

2026-01-25 - 21:09

Netflix imetangaza rasmi kuinunua Warner Bros. Discovery, moja ya studio kongwe na kubwa zaidi katika historia ya filamu na televisheni, kwa kiasi cha Dola Bilioni 72. Huu ni ununuzi uliobadilisha kabisa ramani ya biashara ya burudani duniani. Kupitia dili hili, Netflix sasa inamiliki hazina kubwa ya maudhui ikiwemo Game of Thrones, franchise zote za DC

Share this post:
Netflix Yanunua Warner Bros kwa Dola Bilioni 72 — Ununuzi uliandika historia, je utaathiri nini watumiaji wa Netflix? | TheTanzaniaTime