Nafasi za Kazi: Walimu wa Chemistry, Physics, Biology na Mathematics Wanahitajika Haraka
2026-02-03 - 11:39
Buchosa Smart Class inatangaza nafasi nne (4) za ajira kwa walimu wa Sekondari katika masomo yafuatayo: 1. Chemistry 2. Physics 3. Biology 4. Mathematics SIFA ZA MWOMBAJI -Mwombaji anatakiwa awe na elimu inayotambuliwa kisheria katika somo husika. -Awe na uzoefu wa kazi usiopungua miaka mitatu (3) katika kufundisha ngazi ya sekondari. -Awe na nidhamu, vadilifu, bidii kazini na uwezo mzuri wa kufundisha. NAMNA YA KUTUMA MAOMBI Waombaji wote wanapaswa kutuma Barua ya Maombi pamoja na Wasifu (CV) kupitia WhatsApp kwa namba ifuatayo: +255 625 237 312
Share this post: