Nafasi Mpya za Ajira The Amazon College – Omba Sasa!
2026-03-23 - 11:05
Chuo cha The Amazon College – Dar es Salaam kinatangaza nafasi za kazi kwa watu wenye sifa na ari ya kufanya kazi katika vituo vyetu vya Kibaha na Dar es Salaam. KITUO CHA KAZI – KIBAHA Katibu Muhutasi (Office Secretary) Awe na angalau astashahada au stashahada. Msimamizi wa Kituo cha Mafunzo ya Udereva Awe na astashahada au shahada katika usimamizi wa biashara, rasilimali watu au elimu. KITUO CHA KAZI – DAR ES SALAAM Tunahitaji watu wenye astashahada au shahada katika: Elimu, Biashara, Uhasibu au Rasilimali Watu. Msimamizi wa Training Centre Awe na astashahada au shahada katika elimu, utawala wa umma au masuala ya hoteli na utalii. JINSI YA KUOMBA Tuma maombi yako kupitia WhatsApp au barua pepe: WhatsApp: 071 517 0154 Email: theamazoncollegetanzanialtd@gmail.com The Amazon College – A Bridge to Success