TheTanzaniaTime

Mzee Hiza Wa ‘Tanzania Yetu’ Afariki Dunia

2026-02-17 - 07:30

Msanii mkongwe wa muziki Tanzania, Mzee Hiza, mtunzi na mwimbaji wa wimbo maarufu wa “Tanzania Yetu”, amefariki dunia. Mzee Hiza alikuwa maarufu kwa kutunga na kuimba wimbo Tanzania Yetu – Nchi ya Furaha ambao umekuwa ukielezea uzalendo na umoja wa Watanzania kwa miaka mingi. Wimbo huo aliuandika akiwa na Bendi ya Atomic Jazz ya Tanga mwaka 1966/1967 na umechukua nafasi muhimu katika utamaduni wa muziki wa Tanzania.

Share this post: