Muinjilisti Mtoto Edwin Asimulia Alivyokamatwa Akiwa Anahubiri Stendi – Video
2026-02-27 - 04:48
Muinjilisti Mtoto, Edwin Msigwa Muinjilisti Mtoto, Edwin Msigwa amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia Global TV na kueleza kuwa aliwahi kukamatwa na Jeshi la Polisi alipokuwa anatoa mahubiri katika eneo la Stendi, Mwanza. Video full ipo YouTube ya Global TV Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.
Share this post: