TheTanzaniaTime

Mechi Kubwa Leo: Odds Kubwa na Fursa za Kushinda na Meridianbet!

2026-03-03 - 09:37

Ni siku nyingine ya kubadilisha maisha yako na Meridianbet. Suka jamvi lako la ushindi siku ya leo na uingie kwenye wale washindi wakubwa ambao hutangazwa hapa kila wiki. Hispania, Copa del Rey mchezo wa mkondo wa pili utapigwa ambapo FC Barcelona baada ya kupigika kwenye mechi ya kwanza atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Atletico Madrid. Mpaka sasa Aggregate ni 4 hivyo ili wafuzu hatua ya fainali inabidi washinde. Je Diego Simeone na vijana wake watafanya nini?. Bashiri hapa. Italia pia Coppa Italia hatua ya Nusu Fainali kuna mechi ya pesa kati ya kinara wa ligi Inter Milan dhidi ya Como 1907 moja ya timu ambazo ni ngumu sana msimu huu. Walipokutana mara ya mwisho vijana wa Fabregas walipasuka vibaya sana. Sasa umefika muda wa wao kulipa kisasi. Je wataweza kufanya nini mbele ya vijana wa Chivu?. Suka jamvi hapa. Coupe de France kuna mechi moja pia ya kubashiri kati ya Strasbourg dhidi ya Reims ambao leo hii wanataka kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi ya mwisho wlaipokutana kwenye ligi. Sasa wanakutana kwenye Kombe la ligi. Je beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Beti na Meridianbet. NB: Mbali na kubashiri mechi za kandanda, Meridianbet pia inakupa nafasi ya kucheza michezo ya kasino mtandaoni kama Aviator, Keno, Super Heli, ambapo unaweza kujishindia zawadi kama simu mpya aina ya Samsung A25. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz Ligi kuu pendwa ya Uingereza EPL, inaendelea AFC Bournemouth atakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya Brentford ambao wapo nafasi ya 7 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 8. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 2 pekee. Kila timu inataka kushinda mechi hii ya leo. Je nani unampa nafasi ya kushinda?. Bashiri hapa. Sunderland watakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Leeds United ambao wanashika nafasi ya 15 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 12 kwenye msimamo wa ligi. Mechi ya kwanza kukutana, walitoa sare. Meridianbet inakupa nafasi ya kuondoka na mkwanja siku ya leo. Jisajili hapa. Pia Liverpool atakuwa ugenini kumenyana vikali dhidi ya Wolves ambao wapo nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi. Vijana wa Arne Slot wanahitaji ushindi siku ya leo kujiweka sawa kwenye mbio za nafasi 4 za juu. Tandika jamvi kwenye mechi hii leo. Mechi nyingine ni hii ya Everton vs Burnley ambapo mara ya mwisho kukutana kati yao walitoa suluhu. Leo hii kila timu inataka pointi 3 ili iweze kusogea kwenye nafasi ya juu. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA, hivyo ingia kwenye akaunti yako na uanze kufanya ubashiri hapa.

Share this post: