Mauzo ya Headphones za Waya yapanda: Je watu wanaziacha za bluetooth na kurudi kwenye Analog?
2026-03-26 - 10:44
Mauzo ya Headphones za Waya yameonesha ukuaji tena. Katika muongo mmoja uliopita, ulimwengu wa teknolojia ulituaminisha kuwa “waya ni usumbufu.” Apple iliondoa tundu la headphone (headphone jack) kuanzia iPhone 7, na kampuni nyingine kama Samsung na Google zikafuata mkondo huo. Tuliingia kwenye enzi ya AirPods na vichwa vya sauti vinavyotumia Bluetooth. Mauzo ya headphones za
Share this post: