Mamia Washiriki Misa ya Mazishi ya Kardinali Pengo Pugu, Dar – Live
2026-02-28 - 06:18
Mamia ya waombolezaji wamejitokeza asubuhi hii kushiriki Misa ya mazishi ya Kardinali Pengo katika eneo la Kituo cha Hija, Pugu, jijini Dar es Salaam. Tufuatilie moja kwa moja kwenye YouTube ya Global TV — bofya like, toa comment na usajili (subscribe) ili upokee taarifa za moja kwa moja na habari mbalimbali za ukweli na uhakika.
Share this post: