Mama wa Chid Benz Afariki Dunia, Msiba Upo Chanika jijini Dar
2026-02-11 - 09:10
Mama mzazi wa msanii wa Hip Hop, Rashid Makwilo almaarufu Chid Benz, Bi Hawa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Feb 11, 2026. Global TV imezungumza na Chid Benz ambaye amethibitisha taarifa hizo na kueleza kuwa msiba upo nyumbani kwao, Chanika jijini Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia. Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.
Share this post: