MacBook Neo: Laptop ya bei nafuu zaidi kutoka Apple
2026-03-19 - 11:34
Kwa miaka mingi, kumiliki MacBook imekuwa ni ndoto ya gharama kubwa kwa wengi. Lakini Apple wameamua kubadilisha upepo kwa kutoa MacBook Neo, laptop yao ya bei nafuu zaidi kuwahi kutokea, ikianzia takriban $599 (sawa na TSh 1,700,000 hivi). Muundo na Rangi: Ujana na Urembo MacBook Neo imekuja na muundo wa kuvutia wa alumini uliopinda pembeni
Share this post: