TheTanzaniaTime

Jinsi Gen Z Walivyogeuza Apple’s Find My inayokusadia Kujua Location ya Vifaa Vyako Kuwa Mtandao wa Kijamii Usio Rasmi.

2026-01-25 - 21:09

Kwa muda mrefu, Apple’s Find My ilijulikana kama programu ya dharura. Ilikuwa ni app ya “akiba” unayoifungua tu simu inapopotea, laptop ikizimika au funguo zako zinapokataa kupatikana. Lakini taratibu, bila kelele wala matangazo makubwa, matumizi ya Find My yamebadilika. Leo hii, hasa kwa kizazi cha Gen Z, Find My si tu app ya kutafuta vifaa.

Share this post: