Je, AI Itauondoa Utawala wa Google Kwenye utafutaji Mtandaoni? Watalaamu wanasema google search nayo itabadilika kabisa na kutegemea ai zaidi
2026-01-25 - 21:09
Kwa zaidi ya miongo miwili, Google imekuwa mlango mkuu wa kupata taarifa mtandaoni. Kuanzia maswali ya shule, habari za dunia, hadi kutafuta bidhaa au huduma—kila kitu kilianza na Google. Lakini leo, mazingira ya teknolojia yanabadilika kwa kasi isiyo ya kawaida, na swali linaloulizwa na wengi ni hili: Je, Akili Mnemba (AI) iko njiani kuvunja utawala
Share this post: