Ishi Kidigitali Kwa Kupata Taarifa Muhimu Kiganjani Mwako kwa Kutumia Simu Yako
2026-01-29 - 09:14
Maisha yamerahisishwa #Kidigitali! Kuwa mjanja kwa kuishi kijanja! Sasa pata habari zote kiganjani ukiwa na simu yako kuanzia Breaking News , Dondoo za Afya hadi habari za soka za timu uipendayo. BREAKING NEWS Pata taarifa papo kwa hapo za matukio makubwa ndani na nje ya nchi Tuma neno HABARI au BREAKING NEWS kwenda 15599 Uwe sehemu ya wajanja wanaowahi kujua mambo kila yanapotokea! DONDOO ZA AFYA Afya yako ndiyo mtaji wako! Pata dondoo za afya kutoka kwa madaktari waliobobea Tuma neno DAKTARI kwenda 15542 Pata taarifa za dalili za magonjwa, mtindo bora wa maisha na mambo ya kuepuka. HABARI ZA SOKA Wewe ni shabiki wa soka usiyetaka kupitwa na chochote? Maisha yamerahisishwa sana #Kidigitali Kuwa mjanja kwa kuishi kijanja Pata habari za soka papo hapo kupitia simu yako ya kiganjani, popote ulipo Tuma neno SPORTS kwenda 15599 Uwe sehemu ya wajanja wanaowahi kujua taarifa za soka. HABARI ZA SOKA – YANGA Shabiki wa Yanga? Usipitwe na habari moto moto za timu yako! Tuma neno YANGA kwenda 15542 Pata taarifa mpya popote ulipo HABARI ZA SOKA – SIMBA Wewe ni Mnyama kindakindaki? Pata habari zote za Simba kwa haraka na uhakika Tuma neno SIMBA kwenda 15542 Uwe miongoni mwa wajanja wanaowahi kujua kila kinachoendelea! Huduma hii ni kwa watumiaji wa VODACOM pekee. Vigezo na masharti kuzingatiwa.