TheTanzaniaTime

Grox AI ya Musk Iko Matatani kwa Kuvua Wanawake na Watoto Nguo — Je, Usalama wa Matumizi ya AI Uko Wapi?

2026-01-25 - 21:09

Katika ulimwengu wa teknolojia unaokua haraka kuliko sheria na maadili, Grok AI, chat-bot ya akili bandia inayomilikiwa na xAI chini ya Elon Musk na kuunganishwa na mtandao wa kijamii X, imeibuka kama mojawapo ya mifano ya hatari ya matumizi yasiyofanikiwa ya AI. Inavyoripotiwa hivi karibuni, Grok imekuwa ikitumiwa kutoa picha zilizobadilishwa za wanawake na hata

Share this post: