Fursa Mpya za Ajira Usichelewe! Bank Teller 13 na Supervisor 7 Wanahitajika
2026-02-13 - 09:50
Unatafuta kazi au unamjua anayehitaji ajira? Hii ni nafasi yako ya kuanza safari mpya ya mafanikio! JOB JUNCTION TANZANIA wanatafuta watu makini kujiunga na timu yao: BANK TELLER (13) Ujuzi wa kutumia Bank Software Ufahamu mzuri wa Kompyuta Mawasiliano mazuri Muonekano nadhifu + huduma bora kwa wateja SUPERVISOR (7) Uzoefu wa Management Uongozi thabiti Smart & mwenye kujiamini Huduma bora kwa wateja Mawasiliano mazuri Tuma maombi yako moja kwa moja WhatsApp: 0656116023 Usikose nafasi – Ajira ni chache, omba mapema!
Share this post: