TheTanzaniaTime

EWURA yatangaza bei mpya za mafuta kwa mwezi Februari 2026

2026-02-04 - 08:58

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia leo Jumatano Februari 4, 2026 saa 6:01 usiku Mkoa wa Dar es Salaam petrol ni Tsh. 2788 kwa lita, dizeli Tsh. 2701 na mafuta ya taa 2746.

Share this post: