Dkt. Samia Aongoza Kikao Cha Kamati Kuu, Zanzibar – Picha
2026-01-26 - 07:02
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Zanzibar tarehe 25 Januari, 2026
Share this post: