TheTanzaniaTime

Dkt. Mwigulu Akutana Na Naibu Mkurugenzi Wa Fao Kuimarisha Ushirikiano Wa Sekta Ya Kilimo

2026-02-03 - 13:49

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), Bi. Beth Bechdol jijini Dar es salaam leo tarehe 3 Februari, 2026. Pamoja na mambo mengine, Viongozi hao wameahidi kuendeleza ushirikiano uliopo baina ya Tanzania na FAO ili kukuza na kuimarisha sekta ya Kilimo nchini. MUSUKUMA AKINUKISHA BUNGENI – “ANASINZIA KAZINI – PROFESA UKIJA TENA na MPANGO TUNAUPIGA CHINI”

Share this post: