TheTanzaniaTime

Australia Yaanza Rasmi Kuzuia Watoto Chini ya Miaka 16 Kutumia Mitandao ya Kijamii.

2026-01-25 - 21:09

Australia imeweka historia kwa kuwa nchi ya kwanza duniani kupiga marufuku matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto walio chini ya miaka 16. Hii ni hatua kubwa ambayo mataifa mengine tayari yameanza kufuatilia kwa makini, kwani inaweza kubadilisha jinsi dunia inavyolinda watoto mtandaoni. Kwanini Australia Inafanya Hivi? Serikali ya Australia inasema lengo ni moja: kuwalinda

Share this post: