TheTanzaniaTime

Arsenal Yaichapa Tottenham Hotspur 4-1 Alama tano Dhidi ya Man City

2026-02-23 - 06:26

Arsenal wameonyesha ubabe kwa kuichapa Tottenham Hotspur mabao 4-1 katika dabi kali ya London, ushindi unaowasogeza kileleni mwa Premier League. Kwa ushindi huo, Arsenal wamefikisha pointi 61 baada ya mechi 28, wakisogea kwa tofauti ya alama tano dhidi ya Manchester City ambao wana mchezo mmoja mkononi. Magoli yalifungwa na: Kolo Muani (34’) Eze (32’, 61’) Gyökeres (47’, 90+4’) Kwa upande wa msimamo wa juu (Top 4), Arsenal wanaongoza, wakifuatiwa na Man City, huku Aston Villa na Chelsea wakikamilisha nafasi nne za juu. Je, Arsenal Wanaweza Kutwaa Ubingwa? Kwa presha waliyoitengeneza na morali ya ushindi wa dabi, matumaini ya kutwaa taji yanaonekana kuimarika. Hata hivyo, Man City bado wana nafasi ya kupunguza pengo iwapo watashinda mchezo wao wa mkononi.

Share this post: