Apple wamekuja na Creator Studio kupambana na kampuni kama Adobe kwenye soko la ubunifu.
2026-01-28 - 17:25
Dondoo za Muhimu Apple yazindua Creator Studio kwa $12.99 kwa mwezi au $129 kwa mwaka Inakusanya Final Cut Pro, Logic Pro na Pixelmator Pro kwenye subscription moja iPad sasa ni subscription-only kwa apps za ubunifu wa kitaalamu Hatua hii inalenga moja kwa moja ushindani na Adobe Creative Cloud Apple imeingia rasmi kwenye vita vya soko
Share this post: