TheTanzaniaTime

AI Yamfufua Val Kilmer: Mapinduzi ya Kidijitali Kwenye Filamu Mpya ya ‘As Deep as the Grave’

2026-03-20 - 14:34

AI Yamfufua Val Kilmer. Takribani mwaka mmoja tangu kifo cha mwigizaji nguli wa Hollywood, Val Kilmer (aliyeaga dunia Aprili 2025), ulimwengu wa teknolojia na filamu umetikiswa na habari mpya. Kupitia nguvu ya Akili Mnemba (Generative AI), Kilmer anatarajiwa “kurejea” kwenye uigizaji katika filamu mpya ya “As Deep as the Grave”. Hii si mara ya kwanza

Share this post: